Frame ya Biashara inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
π’ FREMU INAPANGISHWA β SINZA
π° Bei: 350,000/= kwa mwezi
π Location: Sinza
π£οΈ Ipo ubavuni
β
Inafaa kwa biashara mbalimbali
π Parking ipo
π‘ Umeme na maji vinapatikana
π΅ Service charge: 30,000/=
π Simu: 0678512666















