Nyumba inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 500,000 per month

Aina

Nyumba

Ukubwa

800 SQM

Maelezo

๐Ÿข KIWANJA KINAUZWA โ€“ TABATA BIMA ๐Ÿข

Kiwanja kizuri sana kinapatikana Tabata Bima, takribani dakika 1 tu kutoka kituoni ๐Ÿšถโ€โ™‚๏ธ.
Ni eneo lenye uwekezaji mkubwa sana ๐Ÿ“ˆ na lina thamani kubwa sokoni.

Kina nyumba za zamani za kuvunjwa ๐Ÿš๏ธ, hivyo unaweza kutumia eneo hilo kujenga apartments au vyumba vya kupangisha ๐Ÿฌ.

๐Ÿ”น Unaweza kujenga vyumba kuanzia 6 au zaidi
๐Ÿ”น Ukapangisha kuanzia 500,000/= ๐Ÿ’ฐ kwa mwezi kulingana na finishing utakayoweka.

Ni eneo zuri sana kuishi au kuwekeza ๐ŸŒŸ kwa sababu:
โœ”๏ธ Hakuna foleni ๐Ÿš—โŒ
โœ”๏ธ Ufikaji wa mjini ni rahisi sana ๐Ÿ›ฃ๏ธ

๐Ÿ“ Ukubwa: SQM 800

๐Ÿ”ฅ Bei : Milioni 100 tu!
๐Ÿ‘€ Service charge: 30,000/=

Hii ni fursa adimu sana kwa mwekezaji makini.
Thamani ya pesa yako utaiona wazi kwenye uwekezaji huu.

๐Ÿค Karibu tajiri tufanye biashara.

๐Ÿ“ž Piga: +255 688 412 890
โœจ Dalali wako Wakishua