Nyumba inauzwa Gongo La Mboto, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 36,000,000

Aina

Nyumba

Maelezo

Nyumba inauzwa gongo la mboto centa (karibu kabsaa na chuo cha kampala)
(NI NYUMBA YA PILI KUTOKA RAMI)
Boresha upangishe wanafunzi (hostel

👉Bei milion 36 (usiogope)

0759128747 0624436503

Vyumba v5
Umeme jipsam maji
Gari ni moja tu kwenda mjini
Nyaraka ni leseni ya makazi
❌Gari inaishia nyumba inayofuata❌
Whatsap au piga

Tafuta unachotaka Gongo La Mboto, Ilala, Dar Es Salaam