Nyumba inauzwa Bahari Beach, Dar Es Salaam

Aina
Nyumba
Ukubwa
610 SQM
Huduma na Sifa
Maelezo
Nyumba Nzuri Sana Inauzwa
Mahali: Bahari Beach
Bei: Milioni 300 (Mazungumzo)
☑️Ukubwa: Sqm 610
☑️Docs HATI MILIKI
☑️Majirani Wamenyoosha Sana🔥🙌🏻
☑️Panafaa Kwa Uwekezaji Wowote: Kupangisha, Nyumba Ya Kuishi, Nk
Service Charge; 50,000/-
Call;0716279427















