Kiwanja cha Pwani kinauzwa Kigamboni kwa Mwingira, Dar Es Salaam (3500 sqm)

video thumbnail
Sh. 360,000,000

Aina

Beach Plot

Ukubwa

3500 SQM

Barabara ya Karibu

60m

Huduma na Sifa

Karibu na Bichi
Karibu na Barabara

Maelezo

KIWANJA KINAUZWA KIGAMBONI KWA MWINGIRA,KIWANJA KIPO JIRANI NA MALAIKA BEACH,MITA 60 KUTOKA BARABARA KUU PIA KIPO MITA 100 KWENDA BEACH,UKUBWA WA KIWANJA NI SQUARE MITA 3500,HATI MILIKI SERIKALI YA MTAA,BEI MILIONI 360,KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU NAMBA 0689374872/0714454011.