Kiwanja (Commercial Plot) kinauzwa Vingunguti, Dar Es Salaam (10 acre)

Vingunguti, Dar Es Salaam
9 hours ago
$ 10,000,000
Maelezo
*ENEO LINÀUZWA*
*Ukubwa wa eka 10*
*Lipo VINGUNGUTI, Dar es salaam*
Eneo lote lipo ndani ya fensi
Mmiliki ni mmoja
*Tittle Deed mkononi*
*Bei ni USD $10m*
Lipo linaangalia barabara ya lami
Ni zuri kwa yard, kiwanda na matumizi mengine
Service charge 100k
Karibu sana ndugu muwekezaji
PIGA SIMU:: 0672 673363 / 0763 219307

