Kiwanja kinauzwa Buhongwa Musabe, Mwanza (900 sqm)

Buhongwa, Mwanza
2 hours ago
Sh. 28,000,000
Aina
Kiwanja
Ukubwa
900 SQM
Maelezo
Ukubwa wa kiwanja ni 45 kwa 20
Vipo viwanja viwili vya kuunga kila kimoja kinauzwa milioni 28 na kila kimoja Kinaukubwa wa 45 kwa 20
(Ruksa kununua vyote viwili ama kimoja tu!)
Kiwanja kipo Buhongwa musabe jijini Mwanza
Maelezo zaidi nenda WhatsApp 0763 296 711 @ourdalali_real_estate_limited










