Kiwanja kinauzwa Goba Kulangwa, Dar Es Salaam (400 sqm)
Goba, Dar Es Salaam
7 hours ago
Sh. 55,000,000
Huduma na Sifa
Maelezo
#Dakika tano tu kwa mguu upo lami
Karibu sana ndugu mteja🙏🏾
✨Kiwanja kizuri sana kinauzwa kipo mtaa mzuri sana pia ndani ya fensi
✨Ukubwa wa kiwanja: sqmt 400
✨Location: Goba kulangwa
✨Bei : Million 55 (maongezi yapo kidogo)
✨Umiliki: Mmoja
✨Documents: Serikali ya mtaa
✨Umbali kutoka lami: mita 300
🙏🏽karibu sana boss wangu fanya kazi na madalali tuonaotambulika kisheria hepuka matapeli , ofisi zetu zinapatikana nyuma ya Skycity mall
🙏🏽karibu kwa mawasiliano zaidi tupigie:















