Kiwanja kinauzwa Goba Kwa Awadhi, Dar Es Salaam (710 sqm)

Goba, Dar Es Salaam
13 hours ago
Sh. 100,000,000
Aina
Kiwanja
Ukubwa
710 SQM
Huduma na Sifa
Ardhi Tambarare
Karibu na Barabara ya Lami
Maelezo
Hiki kiwanja sio cha kuchelewa, utakikosa..
▪︎ Kiwanja kipo tambalale,
▪︎ Kipo jirani na barabara kuu ya lami ya Goba
▪︎ Kimegusa barabara kuu ya mtaa
▪︎ Kina fikika vizuri sana 100%
Kipo 📍 Dar es salaam GOBA KWA AWADHI
SQM 710 KWA TZS 100 Million (Maongezi yapo)
Tupigie / Whatsapp: 0767 891 406 // 0785 682 800
#luganoorealestateagency















