Kiwanja kinauzwa Goba Maghorofani, Dar Es Salaam (1005 sqm)









Aina
Kiwanja
Ukubwa
1005 SQM
Huduma na Sifa
Maelezo
Kiwanja kizuri cha kishua kinauzwa..
📍 Dar es salaam. Ubungo. GOBA MAGHOROFANI. Karibu na barabara
▪︎ Kipo mtaa mzuri sana wa kishua.
▪︎ Barabara ya gari inazege. School bus mpaka mlangoni.
▪︎ Kinafaa sana kwa makazi. Kujenga nyumba ya ndoto yako
▪︎ Kipo tambalale, kimenyooka vizuri sana. Ukija uje na matofali uanze ujenzi.
Ukubwa SQM 1005
BEI: TZS 160 Million (Maongezi yapo)
Piga: 0767 891 406 // 0785 682 800
#luganoorealestateagency















