Kiwanja kinauzwa Goba Maghorofani, Dar Es Salaam (754 sqm)
Goba, Dar Es Salaam
5 hours ago
Sh. 98,000,000
Aina
Kiwanja
Ukubwa
754 SQM
Barabara ya Karibu
500m — Kinzudi Road
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
Ukichelewa na hivi basi...
Hapa vipo viwanja vitatu tu tunaviuza.
Vipo 📍 Dar es salaam. Goba Maghorofani . Mita 500 kutoka lami mpya ya Kinzudi Road
Viwanja Vilivyopo ni..
▪︎ SQM 754 = TZS 98M
▪︎ SQM 804 = TZS 104M
▪︎ SQM 1064 = TZS 138M
Vimepimwa ✅️ na Plot Namba ✅️
Malipo kwa awamu ✅️
Tupigie //
#luganoorealestateagency















