Kiwanja kinauzwa Iyumbu, Dodoma (600 sqm)


Aina
Kiwanja
Ukubwa
600 SQM
Maelezo
KIWANJA KINAUZWA IYUMBU MTAA WA UDOM JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 600 sq.m
Kina fensi upande mmoja
Maji/Umeme upo
Kipo sehemu nzuri
Tshs 14.5m
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700















