Kiwanja kinauzwa Kibada, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 50,000

Maelezo

KIWANJA CHA BIASHARA NA MAKAZI. SQM.1,000,TSHS.550 MILIONI,KIBADA.

Hapa ni KIGAMBONI palipojengeka vizuri na kuchangamka.

Kiwanja kinaiangalia Barabara ya LAMI.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.

Mwekezaji wahi tukague ili tuchukue maamuzi mapema.

______________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.

+25/ 714 591 548

_______________innMb