Kiwanja kinauzwa Kibaha Kwa Mathias Msangani, Pwani (600 sqm)

Maelezo
Kiwanja kinauzwa
Kibaha kwa Mathias msangani๐
Kutoka moro road klm4
Ukubwa 30 kwa 20/
yani sqm 600 โ๏ธ
Kiwanja kina msingi wa
Chumba masta seble na jiko
Bei milion 6.5๐
Maongezi yapo ๐น๐ฟ๐๐















