Kiwanja kinauzwa Kibugumo, Dar Es Salaam (500 sqm)

Huduma na Sifa
Maelezo
Plot for sale
Kiwanja kinauzwa kipo kigamboni kibugumo
Size sqm 500
Bei 👉 mil 40
Mazungumzo kidogo yapo 🤝
Document mauziano ya serikali ya mtaa
Umbali kutoka lami mita 200
Umbali kutoka ferry kilometer 10
MAWASILIANO
Call/whatsp 0625 490170





