Tafuta

Kiwanja kinauzwa Kigamboni Kijichi Ushuani, Dar Es Salaam sqm 1135

video thumbnail
Sh. 100,000,000

Ukubwa

1135 SQM

Barabara ya Karibu

200m

Huduma na Sifa

Hati
Karibu na Barabara ya Lami

Maelezo

๐Ÿก VIWANJA VINAUZWA โ€“ KIJICHI USHUANI

Unatafuta eneo bora la kujenga nyumba ya kifahari au kufanya uwekezaji? Hii ni fursa yako!

๐Ÿ“ Mahali: Kigamboni โ€“ Kijichi Ushuani

Viwanja vinavyopatikana:
๐Ÿ‘‰๐Ÿป SQM 1,135 โ€” TZS Milioni 100
๐Ÿ‘‰๐Ÿป SQM 1,135 โ€” TZS Milioni 100

โœ… Unaweza kununua kiwanja kimoja au kuunganisha viwanja vyote viwili kwa mradi mkubwa zaidi.
โœ… Kila kiwanja kina Hati ya Wizara.
โœ… Meta 200 tu kutoka barabara ya lami.
โœ… Kilomita 12 kutoka Kivukoni Ferry.
โœ… Kilomita 11 kutoka Daraja la Nyerere.

โœจ Vinanafaa kwa:

* Makazi ya kifahari
* Ujenzi wa apartment
* Miradi ya biashara
* Uwekezaji wenye thamani inayoongezeka kila siku

๐Ÿ“ž0769554221
๐Ÿ“Service Charge 30,000
#trendingvideo #istagram #realestateagent #tanzania #trendingaudio