Kiwanja kinauzwa Kigamboni Kisarawe II, Dar Es Salaam acre 2.8


Kigamboni, Dar Es Salaam
3 hours ago
Sh. 1,200,000,000
Ukubwa
2.8 ACRE
Barabara ya Karibu
1km
Huduma na Sifa
Maelezo
▶️Eneo hili linapatikana kigamboni KisaraweII, umbali wa km 1 tu kutoka barabara ya lami.
▶️Matumizi ni service trade, jirani kuna makazi ya watu.
▶️Umiliki: hati ya wizara
▶️Ukubwa; ekari 2.8
▶️Bei: bilion 1.2
#maluproperty
#youareourpride
#viwanjamaluproperty















