Tafuta

Kiwanja kinauzwa Kinyerezi Kwa Mkasi, Dar Es Salaam (1000 sqm)

video thumbnail
Sh. 36,000,000

Maelezo

🏑 KIWANJA KINAUZWA – KINYEREZI KWA MKASI

Unatafuta kiwanja kizuri kwa makazi au uwekezaji? Hiki ni fursa nzuri kwako!

πŸ“ Location: KINYEREZI KWA MKASI, takribani km 1 tu kutoka kutoka stendi hadi kwenye kiwanja

βœ… Ukubwa: SQM 1000 (50 Γ— 20)
βœ… Kinafaa kwa ujenzi wa nyumba ya makazi binafsi
βœ… Pia kinafaa kwa ujenzi wa apartments (nyumba za biashara)
βœ… Eneo ni zuri, limeendelea na linaendelea kukua kwa kasi
βœ… Barabara imewekewa zege na inafikika kirahisi hata kipindi cha mvua

πŸ’° Bei: TSh Milioni 36 (Negotiable)
πŸ“„ Nyaraka: Sales Agreement

Usikose nafasi hii ya kuwekeza katika eneo lenye maendeleo na mahitaji makubwa ya makazi.

πŸ“ž Wasiliana: +255 (0) 654 101 710 / +255 (0) 787 205 300
πŸ’° Service Charge: TSh 30,000/=

Karibu ndugu mteja, tufanye biashara.
Dalali Amani Kimara– Miliki Kesho Yako Leo!!!