Kiwanja kinauzwa Kwa Chambo, Shinyanga (1565 sqm)
Chambo, Shinyanga
17 hours ago
Sh. 20,000,000
Huduma na Sifa
Maelezo
Kiwanja hiki kipo kilomita mbili tu, kutoka stand ya SGR, unaingilia Kwa chambo mkono wa kulia kama unaelekea Dodoma,
Ni MITA 30 tu kutoka eneo la MUHIMBILI UNIVERSITY
NI MITA 20 tu kutoka kwenye eneo la mradi wa NHC
pamejengeka,
Huduma Zote zipo,
Maji, umeme
Ukubwa sqm 1565
BEI milion 20
0652644084
