Tafuta

Kiwanja kinauzwa Mabibo Mzambalauni, Dar Es Salaam sqm 300

Sh. 200,000,000

Ukubwa

300 SQM

Huduma na Sifa

Hati
Karibu na Barabara ya Lami

Maelezo

Eneo hilo Eneo Linauzwa lipo Mabibo mzambalauni.

Eneo Lina ukubwa wa square meters 300.

Eneo Lina gusa balabala ya lami, muonekano wake ni kuanzia hapo kwenye mabati mpaka kwenye hiyo bajaji Nyeusi

Eneo Lina hati na bei yake ni milioni 200.