Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam






Madale, Ubungo, Dar Es Salaam
4 months ago
Sh. 75,000,000
Maelezo
Kiwanja kizuri sana kinauzwa:
Mtaa mzuri sana mwendo wa maghorofa tu
Ukubwa-sqm 840
Kimepimwa bado Hati
Bei- ml 75 maongezi
Location- madale flamingo
Umbali-km 1 kutoka main road madale flamingo
Karibuni saana
