Kiwanja kinauzwa Madale Msumi, Dar Es Salaam (1100 sqm)



Madale, Dar Es Salaam
1 hour ago
Sh. 75,000,000
Huduma na Sifa
Maelezo
SQM 1100 madale msumi darajani
Mtaa mzuri Sana nani karibu na lami
Kimepimwa hati bado
Bei-ml 75 maongezi
Umbali- Mita - 150 kutoka lami
Karibuni
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747















