Kiwanja kinauzwa Madale Police, Dar Es Salaam (1200 sqm)

Aina
Kiwanja
Ukubwa
1200 SQM
Barabara ya Karibu
1km — Madale Road
Huduma na Sifa
Maelezo
✨ KIWANJA KINAUZWA – MADALE POLICE ✨
📍 Location: Madale Police
✔ Km 1 tu kutoka lami ya Madale Road
✔ Mita 300 kutoka lami mpya 🛣️
👉 Eneo la kimkakati sana kwa uwekezaji na makazi!
📐 Ukubwa: 1200 SQM
👉 Eneo kubwa, kuweka apartments 🏗️
💰 Bei: Milioni 100 🤝)
🏡 SIFA ZA KIPEKEE ZA KIWANJA:
✅ Kinafaa kwa:
• Apartments 🏢
• Nyumba ya familia 🏠
• Uwekezaji wa kupangisha 💼
✅ Eneo lina maendeleo makubwa kwa kasi 🚀
👉 Karibu na huduma muhimu (shule, hospitali, maduka)
✅ Kiwanja kimepimwa 📜
👉 Plot number ipo – umiliki salama, hakuna usumbufu
✅ Thamani inaongezeka kila siku 📈
👉 Fursa nzuri kwa wawekezaji wanaotafuta faida ya baadaye
⏳ USIKOSE FURSA HII!
Maeneo ya Madale yanaongezeka thamani haraka – chukua hatua sasa kabla bei haijapanda zaidi! 🔥
📞 Wahi kuwasiliana nasi leo kwa maelezo zaidi au kuja kuona eneo!
Kwenda kuona plot tsh 50,000
Call 0692744340















