Kiwanja kinauzwa Makongo Juu CCM, Dar Es Salaam (1383 sqm)

Aina
Kiwanja
Ukubwa
1383 SQM
Huduma na Sifa
Maelezo
Kiwanja kinauzwa kipo makongo juu CCM. Kiwanja kina hati miliki ya serikali ( Title deed) na ukubwa wa square meter 1383. Plot namba ya kiwanja ni 106. Bei ya kiwanja ni 200,000,000 TShs.
Contact 0712531657
0789731695















