Kiwanja kinauzwa Makongo Mtipesa, Dar Es Salaam (1000 sqm)

Maelezo
✨Kiwanja kizuri mnoo kipo mtaa mzuri sana panafaa sana kuweka apartments, hotel, warehouse au nyumba yakuishi
✨Ukubwa : sqmt 1,000
✨Location: Makongo mtipesa
✨Documents:Ulasimishaji
✨Umbali kutoka lami mita 700
✨Bei: million 160 (maongezi yapo)
🙏🏽karibu sana boss wangu fanya kazi na madalali tuonaotambulika kisheria hepuka matapeli , ofisi zetu zinapatikana nyuma ya Skycity mall
🙏🏽karibu kwa mawasiliano zaidi tupigie:0695511662















