Tafuta

Kiwanja kinauzwa Mbezi Beach Chini, Dar Es Salaam (716 sqm)

Sh. 350,000,000

Aina

Kiwanja

Residential Plot for sale in Mbezi

Ukubwa

716 SQM

Barabara ya Karibu

200m

Huduma na Sifa

Hati
Karibu na Barabara ya Lami
Karibu na Barabara

Maelezo

Karibu ndugu mteja🙏🏾
✨Kiwanja kizuri mnoo kinauzwa panafaa sana kuwekeza apartments , Hotel au nyumba yakuishi

✨Ukubwa wa kiwanja: SQMT 716

✨Location: Mbezi Beach Chini

✨Barabara tambalale sana kwa aina yoyote ya gari

✨Bei : Million 350 (maongezi kidogo)

✨Umbali kutoka lami mita. 200

✨Documents: Hati miliki

🙏🏽karibu sana boss wangu fanya kazi na madalali tuonaotambulika kisheria hepuka matapeli , ofisi zetu zinapatikana nyuma ya Skycity mall

🙏🏽karibu kwa mawasiliano zaidi tupigie:

Dalali wa Makongo,sinza, Ubungo,mikochen,mbez beach,Goba,Mbweni

abbymajumba_tz

@abbymajumba_tz

View Listings

Matangazo mengine Mbezi, Dar Es Salaam

Dalali wa Makongo,sinza, Ubungo,mikochen,mbez beach,Goba,Mbweni