Tafuta

Kiwanja kinauzwa Mbezi Luis, Dar Es Salaam sqm 1464

Sh. 130,000,000

Ukubwa

1464 SQM

Maelezo

šŸ”šŸ”„ PRIME INVESTMENT PLOT FOR SALE – MBEZI LUIS (NEAR MAGUFULI BUS STAND) šŸ”„šŸ”

šŸ“ Mbezi Luis – hatua chache kutoka Magufuli Bus Stand

✨ Wekeza leo kwenye eneo linalokua kwa kasi na lenye fursa kubwa za biashara na makazi.

Je, umewahi kujiuliza kwa nini maeneo kama Sinza, Makumbusho na Mikocheni yalipanda thamani kwa haraka?

šŸ‘‰ Watu waliowekeza mapema ndiyo wanaovuna faida kubwa leo.

Sasa ni nafasi yako kuchukua hatua kabla bei haijapanda zaidi.

āš ļø Ardhi haiwezi kuongezwa duniani. Kila siku maeneo mazuri yanazidi kuwa adimu.

šŸ“ UKUBWA WA KIWANJA

āœ… SQM 1,464

šŸ“„ UMILIKI
āœ… Hati Miliki (Title Deed) kutoka Wizarani

šŸ“ LOCATION
āœ… Karibu na Magufuli Bus Stand
āœ… Eneo tulivu na salama
āœ… Miundombinu mizuri
āœ… Linafaa kwa uwekezaji wa muda mfupi na mrefu

šŸ—ļø MATUMIZI YA KIWANJA

āœ”ļø Hotel
āœ”ļø Apartment Complex
āœ”ļø Hosteli za Wanafunzi
āœ”ļø Office Building
āœ”ļø Shopping Complex
āœ”ļø Fremu za Biashara
āœ”ļø Medical Center
āœ”ļø Mixed-Use Development

šŸ’” Eneo hili lina potential kubwa ya kuingiza mapato kupitia upangishaji na biashara mbalimbali.

šŸ’° BEI YA MAUZO
Tsh 130,000,000/=

šŸ¤ Maongezi yapo kwa mnunuzi mwenye nia ya kweli.

šŸ“Œ Service Charge: Tsh 50,000/=

šŸ“ž MAWASILIANO

WhatsApp / Simu:
+255 692 932 076

šŸ”„ Usisubiri mpaka mwingine achukue fursa hii.

Leo unaweza kununua kiwanja.
Kesho unaweza kuwa mmiliki wa mradi mkubwa wa biashara.

Karibu sana kwa maelezo zaidi na kupanga muda wa kutembelea eneo.

Matangazo mengine Mbezi, Dar Es Salaam