Kiwanja kinauzwa Misugusugu, Pwani (400 sqm)
Misugusugu, Pwani
4 hours ago
Sh. 6,500,000
Huduma na Sifa
Karibu na Barabara ya Lami
Maelezo
Kiwanja kipo misugusugu ni sqm 400 hii video ni ya miaka mitatu iliyopota sasa hivi pameaza kujengeka ni sqm 400 hapa na ni mita 400 tu kutoka lami.milioni 6-5 maongezi yapo kipo kwenye barabara Safi za mitaa milioni 6-5 karibuni
