Kiwanja kinauzwa Mkuranga, Pwani

video thumbnail
Sh. 25,000,000

Maelezo

Eneo linauzwa limepakana na ZIWA MANSI LINAOPATIKANA MKURANGA MWARUSEMBE…

Ukubwa wa eneo ni heka 1.5 bei Tsh 25,000,000

Eneo lipo km 1.5 kutoka lami

Linafaa kwa ajili ya ujenzi wa BNB AU VACATION HOMES au kuwekeza tu

Ziwa salama halina mamba

ziwa hili lina samaki

Kwa maelezo zaidi na Utaratibu wa site visit piga simu 0785367831
Whatsapp 0769355987

Gharama ya site visit ni Tsh 30,000