Kiwanja kinauzwa Nala Chinangali, Dodoma sqm 1000

Ukubwa
1000 SQM
Huduma na Sifa
Maelezo
Nauza Kiwanja Kizuri Sana,
📍Dodoma Mjini Nala Chinangali, Jirani Na Hospital Ya Jiji Dodoma
◾️Square meter 1000
◾️Documents, Hati Kubwa
◾️Good Neighbors
◾️Jirani Na Lami
Million 17.8✅.
Karibu Twende Site 🙏
#realestateagent #mamasamia #ujenzizone_tz #dodoma #plot















