Tafuta

Kiwanja kinauzwa Tabata Segerea Mwisho, Dar Es Salaam (1000 sqm)

video thumbnail
Sh. 165,000,000

Aina

Kiwanja

Residential Plot for sale in Tabata

Ukubwa

1000 SQM

Barabara ya Karibu

200m

Huduma na Sifa

Umeme
Maji
Has Title Deed

Maelezo

🏑 KIWANJA KINAUZWA – TABATA SEGEREA MWISHO (VIWANJA VYA BENKI) πŸ“

Kipo eneo zuri sana la Tabata Segerea, takribani meter 200 kutoka stendi – sehemu yenye makazi mengi na biashara.

πŸ”Ή Ukubwa: Sqm 1000
πŸ”Ή Bei: Milioni 165
πŸ”Ή Hali ya umiliki: Kimepimwa (hati bado)

🏠 Ndani kuna nyumba za kukarabati zenye wapangaji tayari – fursa ya kipato wakati unaendelea kuboresha au kupanga maendeleo makubwa zaidi.

βœ… Maji yapo
βœ… Umeme upo
βœ… Eneo limejengeka vizuri

πŸ’Ό Inafaa kwa uwekezaji wa apartments, biashara au makazi binafsi.

πŸ“ž Piga: +255688412890
πŸ‘€ Viewing fee: 30,000/=

✨ Dalali wako Wakishua