Kiwanja kinauzwa Tabata Segerea Mwisho, Dar Es Salaam (550 sqm)

video thumbnail
Sh. 60,000,000

Aina

Kiwanja

Ukubwa

550 SQM

Barabara ya Karibu

300m

Huduma na Sifa

Umeme
Maji
Uzio

Maelezo

🔥🏡 KIWANJA KINAUZWA – TABATA SEGEREA MWISHO🏡🔥

Fursa nzuri kwa makazi au uwekezaji wako ndani ya Dar es Salaam! 📍✨

📍 Location: Tabata Segerea Mwisho
🚶 Umbali: Takribani meter 300 kutoka kituoni, panafikika bila shida
🧱 Fensi: Kimezungushiwa fensi pande mbili
💡💧 Huduma: Maji, umeme na huduma zote muhimu za kijamii zipo karibu
📐 Ukubwa: SQM 550
💰 Bei: Milioni 60 tu
💵 Service charge: 30,000/=

✅ Kinafaa kwa ujenzi wa makazi binafsi
✅ Pia ni kizuri kwa uwekezaji wa apartments au nyumba za kupangisha
✅ Eneo zuri lenye maendeleo na ufikivu mzuri

📞 Wasiliana nasi: +255 688 412 890

✨ Njoo ndugu mteja, tufanye biashara.
Dalali wako Wakishua 🏡💼