Tafuta

Kiwanja kinauzwa Tabata Shule, Dar Es Salaam (700 sqm)

video thumbnail
Sh. 120,000,000

Maelezo

🏒 KIWANJA KINAUZWA – TABATA SHULE 🏒

Kiwanja kizuri sana kinauzwa Tabata Shule, takribani dakika 2 tu kutoka kituoni πŸšΆβ€β™‚οΈ na ufikaji ni rahisi kabisa πŸš—.

πŸ“ Ukubwa: SQM 700
πŸ”’ Kipo ndani ya fence na kuna nyumba za zamani za kuvunjwa 🏚️, hivyo unaweza kuanza ujenzi mara moja 🧱.

Hii ni fursa nzuri sana kwa uwekezaji wa apartments 🏬.

Unaweza kujenga:
πŸ”Ή Vyumba viwili, sebule na jiko na kupangaisha kuanzia 700,000/= πŸ’° kulingana na finishing.
πŸ”Ή Au Master bedroom na jiko na kupangaisha kuanzia 500,000/= πŸ’° kulingana na finishing.

⭐ Watu wengi wanapenda sana kuishi Tabata Shule kwa sababu:
βœ”οΈ Hakuna foleni πŸš—βŒ
βœ”οΈ Ufikaji wa mjini ni rahisi sana πŸ›£οΈ
βœ”οΈ Ni karibu na mjini kuliko kwenda mbali kama Kinyerezi au Tabata Segerea.

Ndiyo maana wapangaji wengi wanaprefer kuishi Tabata Shule au Tabata Mwanzo.

πŸ’° Bei: Milioni 120 tu
πŸ‘€ Service charge: 30,000/=

πŸ”₯ Hapa unaweza kufanya uwekezaji mzuri sana na kutengeneza faida kubwa kwa kupangisha.

🀝 Karibu tajiri tufanye biashara.

πŸ“ž Wasiliana nami: +255 688 412 890
✨ Dalali wako Wakishua