Tafuta

Kiwanja (Residential/Commercial) kinauzwa Kimara Korogwe Kilungule, Dar Es Salaam (1300 sqm)

video thumbnail
Sh. 120,000,000

Maelezo

Eneo kubwa sanaa nzr limeshika barabara ya mtaa inayotegemea kupita lami unaweza jenga fremu mbele nyumba APARTMENT UPIGE HELA

Eneo lina square mita 1300

Eneo lina documents safi za mauziano kutoka serikali za mtaa

Eneo linafaa kujenga apartments za biashara fremu au makazi binafsi

Bei milioni 120 maongezi yapo fika saity kwanza ukague biashara maelewano

Eneo lipo kimara korogwe kilungule usafiri bajaji za kumwaga panafikika vzr wakati wote

Mawasiliano 0656623510

Wsp 0752436347

Matangazo yanayofanana Kilungule, Dar Es Salaam

Kiwanja kinauzwa Kimara Korogwe Kilungule, Dar Es Salaam (600 sqm)

Sh. 45,000,000

For Sale600 sqm
  • Ardhi Iliyopimwa

  • Umeme

  • Maji

Kiwanja kinauzwa Kimara Korogwe Kilungule, Dar Es Salaam (350 sqm)

Sh. 17,000,000

For Sale350 sqm
  • Karibu na Barabara

Kiwanja kinauzwa Kilungule, Dar Es Salaam sqm 156

Sh. 15,000,000

For Sale156 sqm
  • Karibu na Barabara

  • Ardhi Tambarare