Tafuta

Kiwanja (Residential/Commercial) kinauzwa Mbezi Mwisho, Dar Es Salaam (600 sqm)

 media -1
media -1
Sh. 30,000,000

Maelezo

PAGALE LA VYUMBA 5, TZS.30 MILIINI, MBEZI ST. JOSEPH.

Hapa ni MBEZI MWISH,
Jiranj na Chuo cha Mt.Joseph,
Mita 800 kutoka Barabara ya Morogoro.

Kiwanja SQM.600.
Kina HATI (Title Deed) ya WIZARA.

Pagale hili linahitaji Maboresho
Unaweza pia kulivunja kupisha Jengo la kisasa.

Ni eneo zuri kwa Biashara ya HOSTELI pia.

WAHI.

_________________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.



_________________mpg

General BROKER (*DALALI*)