Tafuta

Kiwanja (Residential/Commercial) kinauzwa Usa River, Arusha (1 acre)

video thumbnail
Sh. 150,000,000

Huduma na Sifa

Karibu na Barabara ya Lami
Karibu na Barabara
Accessible
Quiet Environment

Maelezo

🌿 SHAMBA LA KIPEKEE LINAUZWA - USA RIVER 🌿
Je, unatafuta eneo zuri la uwekezaji au kujenga nyumba yako ya ndoto? Tunakuja na ofa hii nzuri sana!
šŸ“ LOCATION: Usa River (Njia ya kuelekea DickDick)
šŸ“ UKUBWA: Heka 1 (1 Acre)
šŸ›£ļø UMBALI: Kilomita 1 tu kutoka Barabara ya Lami
Sifa za Shamba:
āœ… Eneo limekaa vizuri sana, linafaa kwa makazi au biashara BnB.
āœ… Ufikikaji ni rahisi (Accessible).
āœ… Mazingira tulivu na yenye hadhi.
šŸ’° BEI: TZS 150,000,000/=
šŸ¤ MAZUNGUMZO: Yapo!
šŸ’³ MALIPO: Tunakubali LIPA KWA AWAMU (Installments).
Wasiliana nasi sasa kwa maelezo zaidi na kufanya ziara ya kukagua eneo:
šŸ“ž 0627 779 772
šŸ¢ INNO PLOT - Suluhisho lako la ardhi

Matangazo yanayofanana Usa River, Arusha

Kiwanja (Residential/Commercial) kinauzwa Usa River, Arusha (1 acre)

Sh. 150,000,000

For Sale1 acreNegotiableInstallment
  • Karibu na Barabara ya Lami

  • Site Visit Bure