Nyumba inauzwa Kibamba, Dar Es Salaam


Kibamba, Ubungo, Dar Es Salaam
2 months ago
Sh. 30,000,000
Aina
Nyumba
Huduma na Sifa
Mpya
Maelezo
Pagale linauzwa
Waungwana, picha hazijapigwa vizuri ila nimeona nishee mapema ikiwa bado ya moto....
Bei ya January hiyo...inataka mil 30 chap chap.....ipo kibamba.
Kwenda site……………………….50000.
