Nyumba inauzwa Mbagala Chamazi – Magengeni, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 140,000,000

Aina

Nyumba

Barabara ya Karibu

1minute

Huduma na Sifa

Karibu na Barabara ya Lami
Fremu2
Apartment4

Maelezo

🏢 NYUMBA INAUZWA – MBAGALA CHAMAZI (MAGENGENI)

Nyumba inauzwa kwa bei ya Tsh Milioni 140 (maongezi yapo).

📍 Location: Mbagala Chamazi – Magengeni

Sifa za nyumba:
✔️ Ina fremu 2 za biashara
✔️ Ina apartment 4 (vyumba vya chumba, sebule, master na jiko lake)
✔️ Umbali wa dakika 1 tu kutoka barabara kuu ya lami
✔️ Eneo zuri kwa makazi na uwekezaji

💥 Hii ni fursa adimu kwa uwekezaji – mapato ya uhakika!

👉 Njoo site ujionee mwenyewe kabla haijaenda

📞 Kwa maelekezo zaidi piga simu: 0683 665504