Nyumba inauzwa Sinza, Dar Es Salaam (329 sqm)

video thumbnail
Sh. 300,000,000

Aina

Nyumba

Ukubwa

329 SQM

Huduma na Sifa

Hati

Maelezo

Nyumba Nzuri Sana Inauzwa
Mahali: SINZA

Bei: Milioni 300 (Mazungumzo)

☑️Ukubwa: Sqm 329
☑️Docs HATI MILIKI
☑️Majirani Wamenyoosha Sana🔥🙌🏻
☑️Panafaa Kwa Uwekezaji Wowote: Kupangisha, Nyumba Ya Kuishi, Nk
Service Charge; 50,000/-
Call;0716279427