Tafuta

Nyumba na Apartments zinazouzwa Tabata Segerea, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 1,200,000,000

Maelezo

🏒 NYUMBA ZA BIASHARA ZINAUZWA – TABATA SEGEREA

Fursa adimu kwa mwekezaji anayehitaji kipato cha uhakika kila mwezi!

🏘️ Jumla ya nyumba: 22
🏠 Kila nyumba ina:

* Vyumba 2 (kimoja Master)
* Sebule
* Jiko
* Choo cha Public
* Maji na umeme wa kujitegemea

πŸ’΅ Kodi ya sasa: TSh 400,000 kwa kila nyumba kwa mwezi.

πŸ“ˆ Mapato:

* Zaidi ya TSh Milioni 8 kwa mwezi
* Zaidi ya TSh Milioni 100 kwa mwaka

πŸ’‘ Fursa ya kuongeza mapato:
Unaweza kufanya maboresho madogo kama:

* Kufunga AC
* Kuweka makabati ya jikoni
* Kuweka paving ndani ya compound
* Kuboresha finishing

Baada ya maboresho hayo, unaweza kuongeza kodi hadi TSh 600,000–700,000 kwa kila nyumba, hivyo kuongeza mapato yako kwa kiasi kikubwa.

πŸ“ Eneo ni zuri, lina mahitaji makubwa ya wapangaji na thamani ya mali inaendelea kuongezeka kila mwaka.

πŸ’° Bei: TSh Bilioni 1.2

πŸ’° Service Charge: TSh 30,000/=

Hii ni fursa ya kweli kwa mwekezaji anayefikiria faida ya muda mrefu. Karibu tufanye biashara.

0714733355 nipigie/WhatsApp

Matangazo yanayofanana Segerea, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Tabata Segerea, Dar Es Salaam (800 sqm)

Sh. 650,000,000

For Sale4 beds4 baths800 sqmhouse
  • Hati

  • Air Conditioning

  • Parking Space

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Tabata Segerea, Dar Es Salaam

Sh. 160,000,000

For Sale2 bedshouse
  • Maji

  • Parking Space

  • Umeme

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Tabata Segerea, Dar Es Salaam

Sh. 160,000,000

For Sale2 bedshouse
  • Maji

  • Parking Space

  • Umeme

Nyumba inauzwa Tabata Segerea Chama, Dar Es Salaam (500 sqm)

Sh. 95,000,000

For Sale500 sqmhouse
  • Karibu na Barabara

Nyumba inauzwa Tabata Segerea Chama, Dar Es Salaam (500 sqm)

Sh. 95,000,000

For Sale500 sqmhouse
  • Site Visit Bure

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Tabata Segerea Chama, Dar Es Salaam (540 sqm)

Sh. 100,000,000

For Sale3 beds1 bath540 sqmhouse
  • Maji

  • Parking Space

  • Umeme

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Tabata Segerea Chama, Dar Es Salaam (540 sqm)

Sh. 100,000,000

For Sale3 beds1 bath540 sqmhouse
  • Maji

  • Parking Space

  • Umeme

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Tabata Segerea, Dar Es Salaam (460 sqm)

Sh. 550,000,000

For Sale4 beds4 baths460 sqmhouse
  • Hati

  • Air Conditioning

  • Parking Space

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Tabata Segerea, Dar Es Salaam (460 sqm)

Sh. 550,000,000

For Sale4 beds460 sqmhouse
  • Hati

  • Air Conditioning

  • Parking Space

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Tabata Segerea, Dar Es Salaam

Sh. 550,000,000

For Sale4 bedshouse
  • Air Conditioning

  • Parking Space

  • Uzio

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Tabata Segerea, Dar Es Salaam

Sh. 550,000,000

For Sale4 bedshouse
  • Hati

  • Air Conditioning

  • Maji

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Tabata Segerea, Dar Es Salaam (250 sqm)

Sh. 50,000,000

For Sale3 beds2 baths250 sqmhouse
  • Uzio

  • Sebule

  • Jiko

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Tabata Segerea, Dar Es Salaam (250 sqm)

Sh. 50,000,000

For Sale3 beds2 baths250 sqmhouse
  • Uzio

  • Sebule

  • Jiko

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Tabata Segerea, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 90,000,000

For Sale3 beds2 baths400 sqmhouse
  • Maji

  • Umeme

  • Luku Inajitegemea

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Tabata Segerea, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 90,000,000

For Sale3 beds2 baths400 sqmhouse
  • Maji

  • Umeme

  • Luku Inajitegemea