Tafuta

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Goba Kwa Robert, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 300,000/month

Maelezo

๐Ÿ”ฅKanyumba kakali sana haka jamani ๐Ÿ”ฅ

Kodi 300,000 ร— 6

๐Ÿ“GOBA KWA ROBERT Dk 2 tu kutoka lami

Chumba master Sebule na Jiko zuri full makabati

Umeme na maji unajitegemea

Security ya uhakika kabisa

Service Charge 20,000

Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja

Contact:
0654 101 710
0787 205 300