Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Goba Njia Nne, Dar Es Salaam









Aina
Nyumba
Vyumba
1
Barabara ya Karibu
5m
Huduma na Sifa
Maelezo
🏡 MASTER BEDROOM, SEBULE NA JIKO ; 400k Full Ac 📍 Goba Njia nne- Nyumba ipo kama dakika Tano kutembea MAELEZO YA NYUMBA: ✔️ Master bedroom Nzuri sana ✔️ Sebule kubwa, ya kisasa na nadhifu ✔️ Jiko la kisasa lenye makabati ✔️ Parking kubwa na salama ✔️ Umeme unajitegemea ✔️ Ipo barabara Karibu na Lami 💰 Kodi: Tsh 400,000 kwa mwezi 📆 Masharti ya malipo: Miezi 4 📌 Security Deposit: 200k (Inalipwa mara moja tu.) GHARAMA NYINGINE: 🔹 Ada ya huduma: Tsh 30,000 (inalipwa mara moja tu) 🔹 Ada ya dalali: Kodi ya mwezi 1 📞 Mawasiliano: Piga / WhatsApp: +255 692 932 076 📲 Tufuatilie Instagram kwa nyumba zaidi zinazopatikana sasa.















