Tafuta

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni Kisiwani, Dar Es Salaam

Sh. 400,000/month

Maelezo

🏡 NYUMBA INAPANGISHWA – KIGAMBONI KISIWANI 🏡

Nyumba kali inapangishwa Kigamboni Kisiwani.

✅ Chumba 1 cha kulala (Master)
✅ Sebule kubwa
✅ Jiko la ndani
✅ Iko ndani ya fensi
✅ Eneo kubwa la parking ya magari
✅ Mazingira mazuri na salama

💰 Kodi: Laki 400,000 kwa mwezi

Wahi sasa upate nyumba bora kwa makazi yako.

#NyumbaInapangishwa #KigamboniKisiwani #HouseForRent #Kigamboni #DarEsSalaam NyumbaZaKupanga MasterRoom ParkingKubwa FencedHouse RealEstateTanzania NyumbaKali RentalHouse KigamboniHomes ApartmentForRent dalalisimbagenuine

Matangazo mengine Kigamboni, Dar Es Salaam