Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni Kisiwani, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
🏡 NYUMBA INAPANGISHWA – KIGAMBONI KISIWANI 🏡
✨ Chumba kimoja Master
✨ Sebule ya kisasa
✨ Jiko kubwa lenye nafasi ya kutosha
✨ Ndani ya fence kwa usalama zaidi
✨ Parking kubwa ya magari
✨ Karibu na usafiri wa uhakika
✨ Mazingira tulivu na salama
📍 Kigamboni – Kisiwani
💰 Kodi: TZS 200,000 kwa mwezi
📅 Malipo ni miezi 3 mbele
📞 Call & WhatsApp: +225746407197
Wahi kuchukua nafasi hii ya makazi bora kwa bei nafuu katika eneo zuri na linalokua kwa kasi la Kigamboni.
#NyumbaInapangishwa #KigamboniKisiwani #Kodi200K #HouseForRent #KigamboniHomes DalaliKigamboni RentalHouse DarEsSalaam HouseHunting RealEstateTanzaniadalalisimbakisiwani















