Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Baruti, Dar Es Salaam

Aina
Nyumba
Vyumba
1
Bafu
1
Barabara ya Karibu
1km
Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA YA KUPANGISHA – KIMARA BARUTI
Chumba, sebule, jiko na choo 🚿
🏠 Nyumba ni mpya kabisa
💰 Kodi: Tsh 200,000 kwa mwezi
📆 Malipo: Miezi 6
📍 Eneo: Kimara Baruti
🚶 Umbali: Takriban km 1 kutoka barabara kuu
• Kwa mguu: Dakika 15
• Bodaboda: Tsh 1,000
⚡ Maji na umeme vinajitegemea
📅 Inakuwa tayari kuanzia tarehe 30/03/2026
Dalali mzoefu mwezi mmoja ulipiapo nyumba sevchage 20,000 kuona nyumba
Mawasiliano 0656623510
Wsp 0752436347



















