Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Korogwe, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 130,000 per month

Aina

Nyumba

Vyumba

1

Bafu

1

Huduma na Sifa

Maji
Uzio
Luku Inajitegemea
Karibu na Stendi ya Mabasi

Maelezo

🇹🇿 #MASTER_BEDROOM_INAPANGISHWA – KIMARA KOROGWE
➖➖➖➖➖

📍 Kimara Korogwe
🕑 Umbali wa dakika 10 kwa mguu kutoka stendi ya mwendo kasi, au bodaboda Tsh 1,000 tu.

🏡 #SIFA ZA NYUMBA

🔹 Chumba kimoja (Master Bedroom)
🔹 Umeme una sub-meter yake
🔹 Maji yanapatikana ndani 24/7
🔹 Fensi yake (hailazi gari)
Mpangaji anatoka tarehe 10/03/2026 kuona ndani na kufanya malipo luksa muda wowote.

🔶 Kodi: Tsh 130,000/= × 6(miezi sita)
🔶 Malipo ya dalali: Tsh 130,000/=
🔶 Service charge: Tsh 20,000/=

#Piga_simu👇
#
📞 & Whatsapp
us🙏
Karibu Sana Mteja😁

###0655256419