Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa KIMARA MWISHO, Dar Es Salaam







Kimara, Ubungo, Dar Es Salaam
3 days ago
Sh. 150,000 per month
Aina
Nyumba
Vyumba
1
Barabara ya Karibu
5minute
Huduma na Sifa
Umeme
Mita ya Maji Inajitegemea
Jiko ndani
Choo pembeni nje
Ndani ya fensi peke yake
Mazingira mazuri
Maelezo
INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 5
KUTEMBEA KWA MIGUU PIKIPIKI NI WEWE UPENDE
KUPELEKWA KUONA NYUMBA ELFU 20
UKIIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
==============
hii nyumba NI chumba kimoja na sebule na jiko ndani
Choo kipo pembeni nnje
Hii nyumba ipo ndani ya fensi Peke yake Yaani wewe mwenyewe
Umeme wako na maji yakwako Nyumba ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana
JAMANI CHOO KIPO PEMBENI SIO NDANI
KODI YA PANGO
=============
kwa mwezi ni laki moja nanusu tuu/=
(150,000)
X 6
DK 5 KUFIKA
KWENYE NYUMBA
CALL
###0688617926
###0655256419
