Tafuta

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 150,000/month

Maelezo

Chumba master mpyaaa kabisa

Umeme na maji inajitegemea

Kod 150000 x6 wahi

Nyumba ipo ndan ya fanc mazingila mazuli sana

Kimara mwisho km1 tuu boda 1000 wahi

Galama za kupelekwa kuona 15k ukilipia utatoa mwez kwa dalali

Matangazo mengine Kimara, Dar Es Salaam