Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa mbagala chamazi magengeni, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 300,000 per month

Aina

Nyumba

Vyumba

1

Bafu

1

Barabara ya Karibu

5minute

Huduma na Sifa

Tiles
Uzio
Public Toilet
Inajitegemea
Sitting Room
Kitchen

Maelezo

Nyumba inapangishwa bei laki 3 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 3 nakuendelea. Nyumba IPO mbagala chamazi magengeni, ni stand alone house ina sitting room, jiko, room moja ni master bedroom, public toilet ipo pia, tiliz, madilisha vioo, fensi ya parking ipo pia. Nyumba ni mpya kabisa haijakaliwa na mtu yeyote yule, umbali wake kutoka kwenye kituo cha daladala hadi kwenye nyumba ni kama mwendo wa dakika 5 ivi kwa kutembea kwa miguu kutoka kwenye kituo cha daladala hadi kwenye nyumba. Kwa mawasiliano zaidi pga namba 0688559385 au pga namba 071925 0426.