Tafuta

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mipango St.Marks, Dodoma

Mipango, Dodoma
2 days ago
Sh. 250,000/month

Aina

Nyumba

House for rent in Mipango

Vyumba

1

1 bedroom House for rent in Mipango

Barabara ya Karibu

2km — Arusha Road

Awali

Inaruhusiwa

Huduma na Sifa

Maelezo

CHUMBA MASTER, SEBULE NA JIKO INAPANGISHWA

Mahali:Dodoma Mipango St.Marks

Bei:250,000/=
Malipo:Miezi 3

✅Mazingira Mazuri Sana Na Ni Tulivu Mno
✅Maji Kisima Yanatoka Masaa 24hrs
✅Umeme Unajitegemea Mwenyewe
✅Wapangaji Wapo Zaidi Ya 10 Ila Pako Tulivu Mno
✅Umbali Kutoka Arusha Road 2km

💰 Gharama Za Kwenda Kuoneshwa Ni Tsh.15,000/=(Itadumu Mpk Utakapo Pata Chumba)
💣Bila Kusahau Malipo Ya Dalali Ambayo Atalipa Mteja.

Whatsapp Number/Call



NAPATIKANA DODOMA MJINI PIGA SIMU TUFIKE SITE TAJIRI.

#fypシ゚viral #yanga #dodoma #tanzania #aitrend

DALALI RICH MO (DODOMA) 🌏